Maufundi (Comedian/Musician)

7 Aug 2013

Ujio wa Msanii wa vichekesho Mau fundi Katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi kipya.
Msanii wa siku nyingi katika tasnia ya Comedy nchini Tanzani,Maulid Ali maarufu kama Mau Fundi nae amejikita katika muziki wa kizazi kipya 'Bongo flava'.Akiwa ndo kaachia wimbo wake wa kwanza chini ya FAMONGA ENTERTAINMENT,unaokwenda kwa jina la ANAPENDA ambao amemshirikisha msanii nguri katika miondoko ya Mduara.AT,unaonekana kupata nafasi katika masikio ya watu na kuwa gumzo sehemu mbali mbali nchini,kwa sasa anajiandaa kufanya Video ya wimbo huo sambamba na kusambaza Audio ya wimbo huo katika Media maana ameanza kuusambaza katika mitandao tu.


Posted by Unknown at 7:50 am
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Unknown
View my complete profile

Kwetu studios

Kwetu studios

Bongo comedy.

Bongo comedy.

Blog Archive

Blog Fans

LUKU movie.

LUKU movie.
Simple theme. Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.